LISTEN LIVE
Redio Maarifa tunatoa Punguzo na ada Nafuu katika Urushaji wa Matangazo na UDHAMINI wa Vipindi vyetu tofauti na Stesheni nyingine,Redio yetu imeendelea kuwa Bora na ya Juu Kabisa katika kuwafikia wasikilizaji wetu Tanzania Pamoja na upatikanaji wake kiurahisi Kwa wasikilizaji wetu.Wasikilizaji wetu wamekua wakiburudika na Kuelimika kutokana na Vipindi Murua Vya Kidini,Kijamii,Uchumi na Tamadun za Kimaisha. Redio Maarifa tunatoa Punguzo Katika Matangazo na Udhamini wa Vipindi ili Kuhakikisha Natija Chanya inapatikana.